Washiriki wa Shindano la Redds Miss Kanda ya Ziwa wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya shindano
Miss Redd's Kanda ya Ziwa Eugen Fabian katikati akiwa katika picha na washindi wa pili na tatu punde baada ya kuvishwa taji la ushindi huo kwa mwaka huu.