September 27, 2012

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MJINI ARUSHA


Rais Jakaya Kikwete akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa African Green Revolution Forum 2012 leo Mjini Arusha. Mkutano huo unafanyika  katika ukumbi wa Ngurdoto Mountain Lodge Arusha.
Mhe.Rais Kikwete akizungumza na Mhe.Kofi Annan na Bi. Melinda Gates walipokutana wakati wa mkutano wa African Green Revolution Forum 2012 unaofanyika katika Ukumbi wa Ngurdoto Mountain Lodge Mjini Arusha