September 26, 2012

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MNADHIMU MKUU JWTZ NA MKUU WA JKT


  Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Luteni Jenerali Samwel A. Ndomba, Ikulu Jijini Dar Es SalaamAmiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael M.Muhuga.
Chini katika picha  Rais Kikwete  akiwa   pamoja na viongozi mabalimbali wa Serikali, vikosi na waliokula viapo.