October 12, 2012

BREAKING NEWS

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA (RPC) LIBERATUS BARLOW AUAWA NA MAJAMBAZI MKOANI MWANZA USIKU WA KUAMKIA LEO...

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Liberatus Barlow ameuawa kwa kupigwa risasi usiku huu maeneo ya Hotel ya Tai 5, Kitangili jijini Mwanza.
Pichani Hayati, Kamanda Liberatus Barlow wakati wa uhai wake.