October 22, 2012

Dkt. Bilal Katika Mkutano wa Wajasiliamali A.Mashariki

Dkt.Bilal akifungua rasmi mkutano wa Wanawake Wajasiliamali kutoka zaidi ya nchi sita katika mkutano wa siku mbili uliowakutanisha Wajasiliamali hao ili pamoja na mambo mengine, kubadilishana uzoefu katika sekta ya biashara zao.

Kwa picha zaidi Bofya pembeni kulia :MATUKIO NA YAKUBU MKAKA