October 29, 2012

KAWAIDA NI KAMA SHERIA....HATA KWA MAISHA !


Akina mama katika picha hii wakienda katika biashara ya mnada kuuza majiko waliyonayo vichwani katika minada ya vijijini.
Lakini pamoja na kushiriki katika biashara za kijamii, pia kina mama wengi mijini na vijijini hujishughulisha sana katika masuala ya kimaendeleo ili kukuza kipato katika familia zao, Taifa na maisha kwa ujumla.
 KINA MAMA NI NGUZO YA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZOTE ZA MAISHA