Mkataa pema pabaya pana muita
Watanzania huku Tunakojipeleka siko....Maisha haya ya vurugu, chuki, uchochezi , udini, ukabira, nk.tusiyaombe... yana hatari sana... tena kwa Taifa na vizazi vyetu vya baadae. Vurugu hizi sio kwamba tutaendelea kulijenga Taifa letu la Amani Na Utulivu alilotuachia Hayati Baba wa Taifa hili Mwl. Julius K.Nyerere.
Tuwaombee kwa Mungu wale wote wenye nia mbaya na Taifa letu... washindwe na kuondoa nia hizo za vurugu na uchochezi miongoni mwetu.