October 18, 2012

Kamishna wa Polisi Zanzibar azungumzia vurugu za Uamsho


 Kamishna wa Polisi Mussa Ali Mussa akifafanua jambo katika Mkutano na Waandishi wa Habari akielezea juu ya Fujo na Ghasia zilizotokea katika Mkoa wa Mjini Magharibi na kupelekea kifo cha Askari Mmoja,Mkutano huo umefanyika hapo katika Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Zanzibar
Maskani ya CCM huko zanzibar yalichomwa moto pia katika vurugu hizo