Picha juu na chini :
Mafunzo ya awali ya Skauti ya wanafunzi wa Kidato cha Tatu katika Shule ya Sekondari Lord Barden Powell Memorial High School Wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Katika picha ya pamoja ni waliosimama kutoka kushoto na kofia ni wakufunzi wa mafunzo ya skauti wakiwa na wanafunzi wanaoshiriki mafunzo ya skauti.