Hali Halisi ya Barabara za Ndani ya Mitaa Kilimahewa Jijini MwanzaKatika maeneo mengine maji yamatengeneza madimbwi makubwa katikati ya barabara.Mifereji ipitishayo maji yatiririkayo ni midogo na mingi imeziba hivyo maji yanakatiza katikati ya barabara na kuharibu miundo mbinu.Mbele ya maduka.... kwenye barabara hizi zenye kilio cha miaka nenda rudi..Yahitaji hesabu ya kutosha kwa waenda kwa miguu wakati wa kuvuta hatua...Barabara inapogeuka kuwa....
Picha kwa hisani ya Gsengo blog.