Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Idd El Hajj katika Masjid Rajab kijijini kwake Msoga-Chalinze leo Asubuhi.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono wa Iddi na baadhi ya waumini walioshiriki swala ya Iddi katika Masjid Rajab Kijijini kwake Msoga, kata ya Chalinze,Wilayani Bagamoyo leo asubuhi. Picha na Fredy Maro-IKULU