October 23, 2012

Maandalizi ya Sikukuu - Idd El Hajj kwa Wenzetu

Katika jimbo la Somaliland mifugo hawa katika soko la Berbera wanasubiri kupelekwa nchini Saudi Arabia kwa maandalizi ya siku kuu ya Idd wiki ijayo baada ya Hijja.