mambo ya kitaa Nigeria
Nchini Nigeria,
mtaa wa mabanda wa Makoko (katika picha), ambao unaelea kwenye maji taka, unatarajiwa kubomolewa na maafisa wa utawala wa mitaa.
Pichani wanaoneka vijana wadogo wakiendesha mitumbwi kwenye dimbwi hilo bila wasiwasi.