October 12, 2012



Mnamo siku ya Alhamisi, watoto waliwaachilia huru njiwa katika mji mkuu wa Msumbiji Maputo, kuadhimisha miaka 20 tangu mkataba wa amani kufikiwa na kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe vya miaka 16. Nchi hiyo ni mojawapo ya nchi zinazokuwa kwa kasi kubwa kiuchumi barani Afrika.
Chanzo: bbc