Mwalimu katika picha hii anaonekana akiwafundisha(akiwaandaa kimaisha) vijana wanafunzi katika darasa la muda katika kambi za wakimbizi.
Afrika tuungane kutokomeza hali hizi duni kimaisha kwani zinazoturudisha nyuma kimaendeleo.
Inawezekana ikiwa viongozi wetu watatia nia ya kuungana kuondoa hali hii.