October 23, 2012

MAMBO YA SIKU YA KUNAWA MIKONO DUNIANI


Hapa ni nchini Afrika Kusini watoto wanafunzi wakinawa mikono na kujifunza umuhimu wa kutumia sabuni kunawa mikono katika kwa afya bora Ni katika mtaa wa Soweto.