Mkazi wa kijiji cha Sing'isi Seela,Aziza Idd akiwaonyesha waandishi wa habari nyumba yake iliyobomolewa na na wawekezaji wa kigeni wanaomiliki shamba la Mito miwili Farm lililopo mkabala na makazi yao ili wawapishe wawekezaji hao juzi
Mkazi wa kijiji cha Sing'isi Seela,Bi Rehema Mohamed akiwaonyesha waandishi wa habari nyumba yake iliyobomolewa na wawekezaji wa kigeni wanaomiliki shamba la Mito miwili Farm Wilayani Arumeru Mkoani Arusha hivi karibuni ili wapishe eneo hilo.Hata hivyo anaendelea kujihifazi hapo kwa matumaini hewa. Picha na Mdau: Moses Mashalla.