October 23, 2012

MAZINGIRA YA ELIMU YAPEWE KIPAUMBELE DAIMA


           Shule nyingi za pembezoni zinadaiwa kukosa MIUNDOMBINU MUHIMU
ya kukidhi hali halisi ya MAHITAJI kulingana na MAZINGIRA halisi ya shule hizo,
Hali hiyo huwanyima wanafunzi fursa ya kufanya vizuri katika mitihani yao ya kitaifa hususani kwa kufanya vibaya mitihani yao ya mwisho  na hatima yake Taifa hupoteza vipaji na wataalamu mbalimbali kutoka karibu katika kila kona ya nchi hii. SHIME KILA MMOJA WETU ASAIDIE KWA HILI...