October 21, 2012


Mashindano ya Mitumbwi Ya Balimi Yaanza kwa Kasi Mkoani Kigoma
Timu ya Katonga A wakipiga kasia la ushindi na kuibuka washindi wa kwanza wanaume kisha kuzawadiwa Tsh.600,000/= kwa ushindi wa kwanza wa mkoa wa Kigoma mwaka huu.
Timu ya Katonga A ikiwa katika furaha ya ushindi wao wa mkoa wa Kigoma upande wa Wanaume