October 20, 2012

mhusika tuboreshee hii huduma ikidhi mahitaji


 Wazo la huduma hii ni zuri lakini kwa sasa halikidhi mahitaji kwa maeneo yaliyomengi kutokana na kutoendana na kasi ya ongezeko la taka Jijini Dar Es Salaam!