October 26, 2012

UKARIBU WA BINADAMU NA WANYAMA WENGINE


Mbuga ya virunga ni hifadhi kwa sokwe Katika picha Sokwe akisikia raha kuwa mgongoni mwa Binadamu kijana huyu katika Hifadhi ya Wanyama ya Virunga nchini DRC.