October 26, 2012

VIONGOZI WA UAMSHO WANYOLEWA NDEVU

Baadhi ya Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakiwa Mahakama kuu ya Zanzibar Vuga kwa lengo la kutuliza amani Mahakamani hapoKiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Sheikh Farid Hadi Ahmed kushoto akiwa na wenzake sita walioletwa Mahakama kuu Zanzibar Vuga wakiwa hawana ndevu na kufunguliwa mashtaka manne mapya mahakamani hapo yakiwemo kuharibu mali za watu zenye thamani ya TSh.Milioni 50 na kufanya vurugu za makusudi za kuhatarisha amani katika nchi… ZanzibarMawakili wa Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Abdallah Juma kushoto na Salim Tawfik wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu kujitoa kwao siku ya leo katika kesi hiyo kutokana na usmbufu wanaofanyiwa wateja wao wa kuhawangaishwa na kukosa kupelekwa Mahakama ya Kwerekwe kwa muda muafa..
Picha Zote na: Makame Mshenga Maelezo Zanzibar