October 12, 2012


Watu katika mji wa Benghazi nchini Libya, waliunda utepe kwa kutumia foleni ya watu hapa ambao ni ishara ya kupambana na saratani ya matiti wakati wa siku ya kuhamasisha kuhusu saratani ya matiti duniani.