Picha mbalmbali za uzinduzi wa maonyesho ya biashara TBHIE Mlimani City Dar Es Salaam Tanzania ambapo mgeni Rasmi ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Tanzania, Mhe. Mama Joyce Mapunjo kwa niaba ya Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara Tanzania.
Picha zote na Yakubu Mkaka [ BlogTz]
Picha za juu
Mgeni Rasmi akipata maelezo mafupi ya bidhaa kutoka kampuni ya EMIRATE ALUMINIAM
Kutoka kulia ni Ndugu Alim Jetha, Mohamed Hussein na Sajad Khatau.