Shamba la majani ya chai katika miinuko ya milima
Maandalizi ya kilimo cha mpunga katika vitaru
Mpunga uliokomaa tayari kwa mavuno muda mfupi tu
Mpunga ukiwa katika hatua za mwanzo kukua katika maotea yake yenye ardhi oevu na maji ya kutosha kama picha inavyojionyesha