Raia wa Marekani Barack Obama, katika kampeni zake kabla ya uchaguzi mkuu wa kesho tarehe 06 Nov 2012.
Waliomuunga mkono kwa wingi Obama miaka minne iliyopita bado wanaonekana kuendeleza nia yao hiyo pamoja na msukosuko wa uchumiulioikumba nchi hiyo mwaka mmoja uliopita. Hii inadhihirisha kuwa ushawishi wake kwa wamarekani ni mkubwa na anayo nafasiya kuendelea kutetea nafasi yake ya Urais wa marekani kwa kipindi kingine cha awamu ya pili baada ya mchakato wa kura.
Blog hii ya jamii inautakia kila la heri uchaguzi huo wa Marekani hapo kesho.