KITOWEO AINA YA SENENE NA HESHIMA YAKE KWA KABILA FULANISenene ni wadudu [ kitoweo ] ambao hupendwa sana kuvunwa na kuandaliwa vizuri kwa kukaangwa na kuliwa kama moja ya vitoweo hadimu tene vinavyopatikana kwa vya musimu fulani tu!. Wadudu hawa hupewa heshima ya kutosha hapa nchini hususani kwa watumiaji wake mathalani mkoani kagera ambako huliwa kwa nidhamu ya hali ya juu kutokana na utamaduni uliojijenga kwa thamani ya kitoweo hawa kwa Kabila la Wahaya