Ajali hii imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya barabara ya mbalizi kuelekea mabatini Gari hiyo mali ya kampuni ya simu vodacom iliporamia nguzo ya taa za barabarani na dereva wake amejulikana kwa jina moja tu la Karinga ambaye ameumia kidogo, Hata hivyo chanzo cha ajali mpaka sasa hakijajulikana. |