November 29, 2012

MAPUNGUFU HAYA HADI LINI ! ?


Gari la mizigo aina ya Nissan lenye namba za usajili T 761 BRN likiwa limegongana uso kwa uso na gari la kubeba mchanga aina  ya Fuso lenye namba za usajili T 390 CBM (lililopo kwenye mtaro) katika barabara ya Morogoro karibu na kituo cha Mabasi cha Kibaha Mjini mkoani Pwani leo asubuhi jumatano Nov 28, 2012.
 Katika ajali hiyo hakuna abiria aliyefariki wala majeruhi sana .