Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akijibu maswali mbalimbali alioulizwa na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara yake ya Vietnam iliochukua muda wa Siku Nne.Hapo ni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume Zanzibar.
Binafsi naipongeza hatua hii ya kiongozi wa kitaifa kutenga nafasi hiyo ya kuongea na Wadau wenzangu [ Waandishi wa Habari ] live kama picha inavyojidhihirisha hapo ambapo kwa hatua hii mimi binafsi nampongeza sana kwani ni mara chache kwa viongozi wa kitaifa kupata fursa ya kuketi na kujibu hoja na maswali ya kihabari kama alivyo katika picha hii.