November 17, 2012


MKE WA MAKAMU WA RAIS, MAMA ASHA BILAL AWA MGENI RASMI MAONYESHO YA 3 YA WAKE WA MABALOZI TANZANIA

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa maonyesho ya 3 ya wake za Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki jijini Dar Es Salaam leo.

Mama Asha, akitambulishwa kwa baadhi ya waandaaji wa maonyesho hayo, Bi Nafka, alipokuwa katika Banda la Ethiopia kwenye maonyesho hayo.

  
 Mama Asha Bilal, akiangalia moja ya vitabu vilivyokuwa katika banda la maonyesho, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake za Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki leo.

Mama Asha Bilal, akiwa katika banda hili lililosheheni bidhaa za kitamaduni. Pembeni mwakilishi wa Kikundi cha Women Craft, Edron Mwaku, kimpa maelezo kuhusu utengenezaji wa Vikapu   wakati alipolitembelea banda la maonyesho hayo. 
Picha : sufianimafoto blog