November 27, 2012

MKUTANO WA MBUNGE WENJE NA TASWIRA HIZI


Mbunge wa Jimbo la Nyamagana [Mwanza Mjini] Mhe. E. Wenje akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa hadhara.
Sehemu ya hadhira ikifuatilia kwa umakini hutuba mbalimbali katika mkutano huo

Akatambulishwa Mhe. Mnyika Mbunge wa Ubungo kutoka jijini Dar akiwa mshiriki mwalikwa katika mkutano huo.

Ghafla..............!!!!!
 
 

Wana usalama wakafanya kazi yao ya kuhakikisha ulinzi na usalama wa Raia unaimalika muda wote.
Tuendelee na mkutano
Mhe. Mnyika akazungumza na hadhara hiyo na kwa ushirikiano mkubwa.
Nguvu ya umma ikajidhihirisha mbele ya Mhe.Mnyika kama unavyoshuhudia mwenyewe picha hii.