November 27, 2012


MTOTO ALIYECHOMWA  NA HATIMAE KUKATWA MKONO WAKE WA KUSHOTO ALETWA MAHAKAMANI KUTOA USHAHIDI MJINI MBEYA



Mtoto Aneth akiwa na mama yake mzazi [ kulia ] wakiingia eneo la lango kuu la mahakama huko mjini mbeya.
WILVINA MKANDALA ANAETUHUMIWA KWA KUMUUNGUZA NA KUSABABISHA KUKATWA KWA MKONO WA MTOTO ANETH AKIINGIZWA MAHAKAMANI CHINI YA ULINZI MKALI WA POLISI HUKU AKIKIMBIA JICHO LA WANAHABARI
MAMA YAKE ANETH AKIONDOKA NA MWANAE MARA BAADA YA HAKIMU KUMUONA MTOTO HUYO NA KUPATA MAELEZO MAFUPI TOKA KWA MTOTO ANETH AMBAYE HATA HIVYO ALISHINDWA KABISA KUONGEA VIZURI MARA TU ALIPOMUONA SHANGAZI YAKE  ALIYEMCHOMA MOTO AKIINGIA KATIKA CHUMBA CHA MAHAKAMA PIA.
 KESI HIYO IMEAIRISHWA MPAKA TAREHE 6/12 / 2012.