November 27, 2012


R.I.P Hussein Ramadhani [ Sharo Milionea]
Kifo chako kimeacha wengi kutoamini kama kweli umetutangulia mbele za haki !
Pumzika kwa amani maana hiyo ni safari ya kila Binadamu aliyebaki hapa Duniani.Tunakuombea mapumziko mema ya milele na utaendelea kukumbukwa kwa kila jambo.
Amen