November 27, 2012


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Ndg. Sam Elangalloor, 
wakifunua kitambaa kwa pamoja kuashiria uzinduzi wa Shule ya Msingi Kiromo, iliyopo Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, iliyokarabatiwa na Kampuni ya Airtel Tanzanial eo tarehe 27/11/2012. 

          DKT. BILAL AZINDUA SHULE YA MSINGI YA KIROMO MJINI BAGAMOYO


Dkt.Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Ndg. Sam Elangalloor  kuhusu matumizi na makusudio ya mafunzo ya Kompyuta wakati alipotembelea katika chumba cha Kompyuta, baada ya kuzindua rasmi shule ya Msingi, Kiromo.