November 15, 2012

Rais Kikwete Katika Ziara za Maendeleo ya kilimo cha Zabibu


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua shamba la mfano la kilimo cha zabibu la SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo hutumia umwagiliaji wa matone Chamwino Mkoani Dodoma leo Novemba 15, 2012 akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe Fatma Saidi na Mbunge wa Mtera Mhe. Lusinde


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete waakikagua shamba la kilimo cha Zabibu la SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo hutumia umwagiliaji wa matone Chamwino Mkoani Dodoma leo Novemba 15, 2012



              PICHA NA IKULU