November 16, 2012


                                    Ukumbi wa mlimani city yanapofanyika maonyesho hayo.
CHINI: Furahia baadhi ya picha za leo mapema asubuhi leo na kaa mkao wa kupata matukio zaidi kutoka katika maonyesho haya ya kibiashara kupitia Blog yako ya Jamii. 
Yawezekana ukafaidika kufahamu bidhaa kutoka makampuni tofauti tofauti na mawasiliano utapata pia.!