November 21, 2012


VODACOM TANZANIA  YAKABIDHI RAIS KIKWETE HUNDI YA BILIONI NANE NA  KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITAL YA BAOBAB JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Kikwete akinyanyua juu mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8 bilioni aliyokabidhiwa na Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza wa tatu toka kusho zilizochangwa  na kundi la kampuni ya Vodafone na  Vodacom Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospitali ya huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza akisema machache wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8 bilioni aliyoikabidhi rasmi kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete fedha hizo zilizochangwa  na kundi la kampuni ya Vodafone na  Vodacom Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospital ya huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar es Salaam.
  Rais Jakaya Kikwete akiongea na wafanyakazi wa CCBRT na Vodacom pamoja na mabalozi waliohudhuria hafla hiyo ya makabidhiano ya mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8 bilioni,aliyokabidhiwa rasmi na Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza zilizochangwa na kundi la kampuni ya Vodafone na  Vodacom Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospitali ya huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar es Salaam.
 Rais Jakaya Kikwete akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza kushoto na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT Bw.Erwin Telemans wakati wa makabidhiano rasmi ya mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8 bilioni fedha hizo zilizochangwa  na kundi la kampuni ya Vodafone na  Vodacom Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospitali ya huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya Hospitali ya CCBRT,jijini Dar es Salaam.
 Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kwenye hafla hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akimsalimia mtoto Kanani Masoud kutoka Kigoma anatibiwa CCBRT wakati alipofika kukabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8 aliyokabidhiwa na Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza hayupo pichani,zilizochangwa  na kundi la kampuni ya Vodafone na Vodacom Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospitali ya huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar es Salaam.