December 08, 2012

AJALI JIJINI MBEYA ZINATISHA!


Sehemu ya mabaki ya gari iliyopata ajali jijini Mbeya na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kuacha wengi majeruhi, tarehe 6 Desemba 2012.
Wananchi wakiwa hawaamini kilichotokea hapo 

HAPA PIKIPIKI IMEMPELEKA CHINI KIJANA WA WATU.