December 01, 2012


    NYUMBA ZA WALIMU KYELA HOI


Moja ya nyumba za walimu katika shule ya msingi Ipyana wilayani Kyela mkoani MbeyaHali ya nyumba za walimu katika shule hiyo ni mbaya kama inavyoonekana hapa

Hili ni dirisha lenye top za mabati

picha kwa hisani ya kalulunga mbeya