December 01, 2012

Mixer Za Maisha ...Hadi kuchora chini Tena Barabarani Peupe !!!

SABABU HAIJULIKANI

HII KALI SIJUI ASKARI HUYU ALIKUWA ANACHORA NINI HAPO CHINI HII NI BARABARA YA MBEYA PEAK KWENDA UWANJA WA SOKOINE MBEYA
Labda mawazo yakizidi uwezo.... yanaweza kutumika 'live' katika tukio la kituko
KWAKWELI IMECHUKUA MUDA KAMA DAKIKA TANO AKIENDELEA KUCHORA HAPO CHINI TUMESHINDWA KUPATA NAMBA ZAKE AU JINA LAKE LAKINI TUNAHISI HUWENDA MAHESABU YA KIFEDHA YANAMSUMBUA
SASA KAINUKA NA KUANZA KUFUTA KWA BUTI LAKE MCHORO ALIOUCHORA HAPO CHINI ILI USITUMIKE KWA MANUFAA YA WENGI...

Picha kwa hisani ya Joachim nyambo