HALI ILIVYIKUWA KARIAKOO JIJINI DAR LEO BAADA YA MAJAMBAZI KUFANYA TUKIO
Baadhi ya Majeruhi waliojeruhiwa na Majambazi mapema leo katika eneo la Kariakoo,jijini Dar wakiwa kwenye gari la Polisi tayari kwa kupelekwa hospitali kwa Matibabu.kwa mujibu wa Ripota wetu ni kuwa Baadhi ya Majambazi hao wamekamatwa na wapo kwenye kituo cha Polisi Msimbazi Kariakoo.Majambazi hao wameuwa watu wawili kwa risasi.