Watangazaji wa Clouds FM na Clouds TV pichan shoto ni Millard Ayo na Ben Kinyaiya pichani kulia wakifanya mahojiano mafupi na Mwanamuziki Koffi Olomide mara baada ya kuwasili usiku huu kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),jijini Dar. Koffi Olomide alitanabaisha kuwa yeye amekuja nchini Tanzania kwa mara nyingine tena kuwaburudisha na kuwaonesha vipaji alivyo navyo sasa ndani ya kundi lake la Quartier Latin. |
Wasiliana nasi: mkakatz@gmail.com +255 786 555 460