December 19, 2012


Mhe.Kikwete akutana na Naibu Waziri Mkuu na Rais Mstaafu wa Kosovo Mhe Behgjet Isa Pacolli  Ikulu Dar . Ikulu Leo

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Rais Mstaafu wa Kosovo Mhe Behgjet Isa Pacolli   leo  Desemba 19, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU