December 14, 2012

Rais Kikwete katika hafla ya Confederation of Tanzania Industries


Mhe. Rais Kikwete akisalimiana na M/kiti wa Bodi ya Wakurugenzi ( CTI ) Davis Mosha punde alipowasili ukumbini Serena Hotel Dar Es Salaam jioni ya tarehe 13.12.2012.
Mhe.Rais Kikwete akiongea na wadau waliohudhuria katika hafla hiyo iliyofana vilivyo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ( CTI ) Davis Mosha akiongea katika hafla hiyo