December 14, 2012

Kofii Ndani ya Jiji la Bongo



Koffi Olomide akitia saini moja ya bango lenye kampeni inayowatahadharisha madereva wa magari kunywa pombe kupindukia,ikiwa ni hatari kwa afya na usalama wao kwa ujumla,pichani kulia ni Mkurugenzi wa kampuni ya bia ya Serengeti,Bwa.Steve Gannon akishuhudia tukio hilo,aidha katika tukio hilo 
Wanahabari mbalimbali walishuhudia tukio hilo ndani ya hotel ya Serena Inn mapema leo mchana.
Koffi Olomide na skwadi lake la Quartie Latin wametua jana jijini Dar kwa ajili ya maonesho yao mawili yatakayofanyika jijini Dar ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni siku ya jumamosi na jijini Mwanza kwenye uwanja wa CCM-Kirumba siku ya jumapili kwa udhamini mkubwa wa kampuni ya SBL kupitia bia yake ya Tusker Lager.