TASWIRA YA UJENZI WA SOKO KUU LA MWANJELWA JIJINI MBEYA
Soko hili lilianza kujengwa rasmi mwaka 2010.Litakuwa na vyumba vya biashara zaidi ya 450,stoo 3 Polisi post moja,bucha 10,Hotel 10 na sehemu ya wafanyabiashara ndogondogo 440.Pia kutakuwa na eneo la parking zaidi ya gari 100, Generator ya umeme kuhudumia soko wakati wa katisho la umeme na vyoo vya kulipia.Gharama ya ujenzi ujenzi wa soko hili inakadiriwa kuwa Bilioni 13.