December 18, 2012

Wedding Ceremony For Rabiel & Witness

Bwana na Bibi Rabiel Ringo wakipitia vifungu vya maandiko matakatifu ya ndoa kwa kuongozwa na mchungaji Kanisa la KKKT Azania Front Jijini Dar Es Salaam.
Pembeni ni wapambe(wasimamizi) wao pia wakishiriki Ibada hiyo iliyofanyika Jumamosi ya tarehe 16 . 12 . 2012. Fuatilia mtiririko huu wa picha..