January 21, 2013

Rais Obama awatukuza Lincoln, Luther King


Rais Barack Obama akiapishwa na Jaji Mkuu wa Marekani, John Roberts kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili Ikulu ya White House jana. Kulia ni watoto wake, Malia na Sasha.
Picha na AFP