January 14, 2013

TASWIRA KUTOKA KATIKA MKUTANO WA HADHARA ILEMELA JIJINI  MWANZA
Wananchi katika mkao wa kujiachia japo ni chini 
Vijana wakielekea kushiriki mkutano wa hadhara katika kata ya kitangiri wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza.
Wazazi na watoto wakapata fursa ya kushirirki
Shabiki nambari 

Wataalamu mbalimbali kutoka ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela nao walialikwa kwenye kusanyiko hili kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa utekelezaji pindi maswali ya papo kwa papo yakijitokeza

Kwa utulivu kivulini wananchi wa kata ya Kitangili wakishiriki mkutano wa hadhara.